Genesis 9:6-9

6 a“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu,
damu yake itamwagwa na mwanadamu,
kwa kuwa katika mfano wa Mungu,
Mungu alimuumba mwanadamu.
7 bKuhusu ninyi, zaeni mwongezeke kwa wingi, mzidi katika dunia na kuijaza.”

8Ndipo Mungu akamwambia Noa na wanawe pamoja naye: 9 c“Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu,
Copyright information for SwhNEN